Jukwaa la Michezo

Mchezaji wa Kenya ahusishwa na upangaji wa matokeo

Imechapishwa:

Shirikisho la soka duniani, linachunguza iwapo ni kweli, mchezaji wa zamani wa timu ya taufa ya soka ya Kenya aliyekuwa beki George Owino, alihusika katika upangaji wa matokeo ya mchuano muhimu wa kufuzu kucheza fainali ya kombe la dunia mwaka 2010, wakati ilipoikabili Nigeria. Mechi hiyo ilimalizika kwa Nigeria kupata ushindi wa mabao 3-2. Tunachambua hili kwa kina.

Nembo ya Shirikisho la soka duniani FIFA
Nembo ya Shirikisho la soka duniani FIFA REUTERS/Arnd Wiegmann/Files
Vipindi vingine