Jukwaa la Michezo

Fainali za Afrika kwa vijana chini ya miaka 20 zafikia tamati nchini Niger

Imechapishwa:

Makala ya 15 ya fainali za Afrika kwa vijana chini ya miaka 20 zimefikia tamati nchini Niger. Hata hivyo mashindano hayo na idadi ya timu zinazoshiriki yanaakisi kukua kwa soka la vijana Afrika? Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Bonface Osano na Samwel John kutathimini kwa kina

Mali imenyakua ubingwa wa vijana Afrika kwa kuishinda Senegal katika mchezo wa fainali
Mali imenyakua ubingwa wa vijana Afrika kwa kuishinda Senegal katika mchezo wa fainali soka25east
Vipindi vingine