Jukwaa la Michezo

Kukosekana kwa udhamini kunaathiri ushindani katika ligi ya Tanzania

Sauti 21:01
Ligi ya Tanzania haina mdhamini baada ya kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kumaliza mkataba wake
Ligi ya Tanzania haina mdhamini baada ya kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kumaliza mkataba wake TFF

Ligi ya Tanzania imefikia mzunguko wa pili lakini kufikia sasa haina mdhamini mkuu baada ya kampuni ya mawasiliano ya Vodacom kumaliza mkataba wake. Fredricxk Nwaka ameungana na wachambuzi Juma Mudimi na Aloyce Mchunga kutathimini kwa kina