Amina Mohammed ni mtu sahihi kuongoza wizara ya michezo nchini Kenya?

Sauti 21:53
Waziri mpya wa michezo nchini Kenya, Amina Mohammed
Waziri mpya wa michezo nchini Kenya, Amina Mohammed Wikipedia

Amina Mohammed, Mwanadiplomasia mashuhuri wa Kenya ameteuliwa kuongoza wizara ya Michezo huku jukumu kubwa likiwa kuandaa Timu ya Taifa ya Kenya Harambee Stars kuelekea fainali za Afrika mwaka 2019 na pia kufanikisha maandalizi ya Kenya katika uandaaji wa michuano ya dunia ya riadha mwaka 2020. Fredrick Nwaka ameungana na Naibu rais wa Shirikisho la kandanda nchini Kenya, FKF Doris Petra na mchambuzi wa kandanda Boniface Osano kutathimini kwa kina,