Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Gor Mahia na Simba zashindwa kufua dafu michuano ya klabu Afrika

Sauti 21:52
Klabu bingwa Afrika
Klabu bingwa Afrika CAF Online

Klabu za Afrika Mashariki zimesindwa kufua dafu wakati huu michuano ya klabu bingwa na kombe la shirikisho inaelekea kutamatika hatua ya makundi. Je zitafaulu kupata tiketi ya kufuzu robo fainali?Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Linet Matheka na Juma Mudimi kutathimini kwa kina.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.