Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Kenya, Ethiopia na Uganda zang'ara mbio za nyika nchini Denmark

Sauti 24:06
Mwanariadha wa Kenya, Hellen Obir ametwa medali ya dhahabu katika mbio za nyika nchini Denmark
Mwanariadha wa Kenya, Hellen Obir ametwa medali ya dhahabu katika mbio za nyika nchini Denmark Athletics Weekly

Wanariadha kutoka mataifa ya Kenya, Ethiopia na Uganda wameng'ara katika mbio za nyika za dunia zilizofanyika nchini Denmark. Fredrick Nwaka ameungana na Aloyce Mchunga kutathimini kwa kina.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.