Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Robo fainali ya michuano ya klabu bingwa na Shirikisho zapigwa

Sauti 23:30
Wachezaji wa Gor Mahia nchini Kenya katika mechi zilizopita
Wachezaji wa Gor Mahia nchini Kenya katika mechi zilizopita www.cafonline.com
Na: Victor Melkizedeck Abuso
Dakika 25

Mechi za hatua ya robo fainali kuwania taji la klabu bingwa na Shirikisho, zimepigwa mwishoni mwa wiki hii. Gor Mahia ya Kenya ikiwa nyumbani, imefungwa na RS Berkane ya Morocco mabao 2-0 huku TP Mazembe ya DRC ikitoka sare ya 0-0 na Simba SC ya Tanzania, miongoni mwa mechi nyingine.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.