Serengeti Boys yavurunda fainali za vijana Afrika
Imechapishwa:
Sauti 18:52
Timu ya vijana ya Tanzania, serengeti Boys imefanya vibaya katika fainali za Afrika kwa vijana zinazoandaliwa nchini Tanzania. Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Samwel John na Aloyce Mchunga kutathimini kwa kina