Cameroon mabingwa wapya wa taji la vijana Afrika chini ya miaka 17

Sauti 21:05
Wachezaji wa Cameroon wakishangilia baada ya kutwaa ubingwa wa Afrika kwa vijana chini ya miaka 17 tarehe 28 April 2019 jijini Dar es Salaam
Wachezaji wa Cameroon wakishangilia baada ya kutwaa ubingwa wa Afrika kwa vijana chini ya miaka 17 tarehe 28 April 2019 jijini Dar es Salaam www.cafonline.com

Timu ya Taifa ya vijana chini ya miaka 17 ya Cameroon imetwaa ubingwa wa Afrika kwa kuishinda Guinea kwa mikwaju ya penati 5-3. Fredrick Nwaka ameungana na Victor Abuso na Aloyce Mchunga kutathimini kwa kina.