Dr. Mshindo Msolla achaguliwa kuwa mwenyekiti mpya wa klabu ya Yanga
Imechapishwa:
Sauti 23:23
Wanachama wa klabu ya kongwe nchini Tanzania ya Yanga, wamefanya uchaguzi wa viongozi wao ambao unatajwa kuwa unaweza kuivusha klabu hiyo katika changamoto inazopitia kwa sasa. Fredrick Nwaka nameungana na wachambuzi wa kandanda Juma Mudimi na Aloyce Mchunga kutathimini kwa kina.