Mchango wa wachezaji kutoka barani Afrika katika maendeleo ya soka barani Ulaya

Sauti 23:58
Mmoja wa wachezaji kutoka barani Afrika, Sadio Mane, anayechezea klabu ya Liverpool nchini Uingereza.
Mmoja wa wachezaji kutoka barani Afrika, Sadio Mane, anayechezea klabu ya Liverpool nchini Uingereza. REUTERS/Russell Cheyne

Ligi ya soka nchini Uingereza imemalizika kwa klabu ya Manchester City kuibuka mshindi mbele ya Liverpool. Wachezaji kutoka barani Afrika kama Mohammed Salah, Sadio Mane miongoni mwa wengine wamekuwa na mchango gani katika mafanikio ya soka barani Ulaya ?