Michuano ya Kombe la Kagame mwaka 2019 itakuwa na ufanisi?

Sauti 22:48
Azam FC ni mabingwa wa taji hilo walilotwaa mwaka jana kwa kushinda Simba SC katika mchezo wa fainali.
Azam FC ni mabingwa wa taji hilo walilotwaa mwaka jana kwa kushinda Simba SC katika mchezo wa fainali. The New Times/Rwanda

Michuano ya Kombe la Kagame kwa klabu za Afrika Mashariki na Kati inatazamiwa kufanyika Julai nchini Rwanda. Je, mashindano haya yana ufanisi? Fredrick Nwaka ameungana na Katibu Mkuu wa Cecafa, Nicholas Musonye na wachambuzi wa kandanda Samwel John na Bonface Osano kutathimini kwa kina.