Teknolojia ya VAR na changamoto zake barani Afrika
Imechapishwa:
Sauti 21:03
Teknoloji ya Usaidizi wa video (VAR) kwa mara nyingine imeshindwa kuamua utata uliojitokeza katika mchezo wa fainali ya klabu bingwa Afrika baina ya Esperance ya Tunisia na Wydad casablanca ya Morocco. Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi Bonface Osano na Juma Mudimi kutathimini kwa kina.