Hatua ya CAF kuongeza timu za Tanzania itatoa changamoto kwa timu za Afrika mashariki?

Sauti 23:09
Kiungo wa Simba Clatous Chama akichuana na Joseph Ochaya wa TP Mazembe katika mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika
Kiungo wa Simba Clatous Chama akichuana na Joseph Ochaya wa TP Mazembe katika mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika Mtanzania

Shirikisho la kandanda Afrika limeongeza timu za Tanzania katika michuano ya ngazi ya klabu barani Afrika. Je hatua hii ina maana gani katika soka la Tanzania na Afrika mashariki?