Fainali za Afrika ni fursa kwa wachezaji wa Afrika mashariki na kati

Sauti 21:35
Timu zilizofuzu kucheza fainali za Afrika
Timu zilizofuzu kucheza fainali za Afrika The Stars

Mataifa matano ya Afrika mashariki na kati yanaungana na mataifa mengine ya Afrika kushiriuki fainali za 32 za mataifa ya Afrika zinazoanza Juni 21, Je wachezaji wa mataifa hayo wako tayari kutumia michuano hiyo kujitangaza? Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi wa soka Aloyce Mchunga na Ally Abdullah Saleh kutathimini kwa kina.