Taifa Stars, Harambee Stars zaelemewa Afcon
Imechapishwa: Imehaririwa:
Sauti 22:09
Tanzania na Kenya zimetupa karata ya kwanza ya fainali za Afrika dhidi ya Algeria na Senegal. Victor Abuso na Fredrick Nwaka wamekuletea makala haya ya Jukwaa la Michezo.