Misri, Cameroon zaondolewa michuano ya kuwania taji la Afrika

Sauti 24:09
Wachezaji wa Afrika Kusini wakimfariji Mohammed Salah wa Misri baada ya kumalizika kwa mchezo wa hatua ya 16 bora wa fainali za AFCON
Wachezaji wa Afrika Kusini wakimfariji Mohammed Salah wa Misri baada ya kumalizika kwa mchezo wa hatua ya 16 bora wa fainali za AFCON Evening Standard

Mabingwa mara saba na wenyeji wa fainali za 32 za Afrika, Misri na mabingwa watetezi wa taji Cameroon zimetupwa nje ya michuano hiyo inayoendelea nchini Misri baada ya kufungwa katika hatua ya 16 bora. Fredrick nwaka ameungana na wachambuzi wa kandanda Juma Mudimi na Aloyce mchunga kutathimini kwa kina.