Jukwaa la Michezo

Mechi za nusu fainali zarindima Afcon

Imechapishwa:

Mechi za nusu fainali kombe la mataifa ya Afrika zinazofanyika nchini Misri zinachezwa leo Julai 14 kwa kuzikutanisha Senegal na Tunisia na Algeria na Nigeria. Tunatathimini kwa kina katika makala ya Jukwaa la Michezo. Ungana na Fredrick Nwaka akiwa na wachambuzi wa kandanda Anangisye msokwa na Bonface Osano aliyepo Cairo nchini Misri.

Riyad Mahrez akishangilia baada ya kufunga bao la ushindi dhidi ya Nigeria katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la Mataifa ya Afrika
Riyad Mahrez akishangilia baada ya kufunga bao la ushindi dhidi ya Nigeria katika mchezo wa nusu fainali ya kombe la Mataifa ya Afrika News Naira
Vipindi vingine