Jukwaa la Michezo

Mataifa ya Afrika mashariki na kati yana mikakati ipi kuelekea AFCON 2021

Imechapishwa:

Shirikisho la kandanda barani Afrika CAF limetangaza makundi ya mechi za m,chujo kuelekea fainali za Afrika za mwaka 2021. Je mataifa ya Afrika mashariki na kati ambayo hayakufanya uzuri katika fainali zilizopita yana mikakati gani kuelekea fainali za 2021? Unga na Fredrick Nwaka akiwa na wachambuzi wa kandanda Bonface Osano na Aloyce Mchunga

Makundi ya kuwania kufuzu fainali za Afrika 2021.
Makundi ya kuwania kufuzu fainali za Afrika 2021. The Independent Uganda
Vipindi vingine