Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Tanzania yaiondoa Kenya kwenye michuano ya kufuzu fainali ya CHAN 2020

Sauti 22:39
Kenya ikimenyana na Tanzania katika mechi ya CHAN Agosti 04 2019
Kenya ikimenyana na Tanzania katika mechi ya CHAN Agosti 04 2019 footballkenya.org
Na: Victor Melkizedeck Abuso

Tanzania itacheza na Sudan katika hatua ya mwisho, kufuzu katika fainali ya michuano ya Afrika kwa wachezaji wanaocheza soka nyumbani, maarufu kama CHAN mwaka 2020 nchini Cameroon. Taifa Stars iliifunga Harambee Stars mabao 4-1 kupitia mikwaju ya penalti baada ya mechi hiyo kutofungana, katika uwanja wa Kimataifa wa Kasarani jijini Nairobi.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.