Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Simba SC yaaga michuano ya klabu bingwa barani Afrika huku Malindi ikifuzu raundi ya kwanza baada ya karibu miaka 30

Sauti 21:42
Kocha wa Simba raia wa Ubelgiji Patric Aussems akimfariji mchezaji wake Meddie Kagere baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya UD Songo ya Msumbiji Agosti 25 mwaka 2019
Kocha wa Simba raia wa Ubelgiji Patric Aussems akimfariji mchezaji wake Meddie Kagere baada ya kumalizika kwa mchezo wa ligi ya mabingwa Afrika dhidi ya UD Songo ya Msumbiji Agosti 25 mwaka 2019 SimbaSC Tanzania
Na: RFI
Dakika 23

Simba ya Tanzania imeaga michuano ya klabu bingwa Afrika katika hatua ya awali huku Malindi ya Zanzibar ikifuzu hatua ya kwanza baada ya karibu miaka 30. Tunatathimini kwa kina katika makala haya. Ungana na Fredrick Nwaka akiwa na wadau wa michezo Aloyce Mchunga na Ally Saleh.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.