Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Yanga, Gor Mahia zashindwa kuchanua klabu bingwa Afrika

Sauti 22:04
Kiungo wa Zesco ya Zambia Thaban Kamusoko baada ya kuiongoza timu yake kupata sare dhidi ya Yanga katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, Septemba 14, 2019
Kiungo wa Zesco ya Zambia Thaban Kamusoko baada ya kuiongoza timu yake kupata sare dhidi ya Yanga katika Uwanja wa Taifa Dar es Salaam, Septemba 14, 2019 Mwanaspoti
Na: RFI

Michuano ya klabu bingwa Afrika na Kombe la shirikisho imekuwa ikichezwa mwishoni mwa wiki hii huku klabu za Afrika Mashariki na Kati kama Yanga na Gor Mahia zikishindwa kufanya vyema. Tunatathimi ni kwa kina mashindano haya. Ungana na Fredrick Nwaka akiwa na wachambuzi wa kandanda Aloyce Mchunga na Bonface Osano.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.