Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Ligi kuu ya soka nchini Kenya yakabiliwa na changamoto za fedha

Sauti 21:42
Mechi iliyopita ya ligi kuu nchini Kenya
Mechi iliyopita ya ligi kuu nchini Kenya Kenya Premier League

Ligi kuu ya soka nchini Kenya, inakabiliwa na changamoto za kifedha, baada ya mfadhili mkuu SportPesa kujiondoa.Hali hii imesababisha baadhi ya klabu kushindwa kuwalipa wachezaji wake mishahara. Changamoto hii inaweza kutatuliwa vipi ? Ungana na Fredrick Nwaka na wageni wetu.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.