Pata taarifa kuu
Jukwaa la Michezo

Michezo ya kufuzu fainali za Afrika zaendelea kurindima

Sauti 21:56
Mshambuliaji wa Kenya, Michael Olunga anatazamiwa kuiongoza Kenya kuchuana na Togo Jumatatu Novemba 18
Mshambuliaji wa Kenya, Michael Olunga anatazamiwa kuiongoza Kenya kuchuana na Togo Jumatatu Novemba 18 goal.com
Na: RFI
Dakika 23

Michuano ya kuwania kufuzu fainali za Afrika imekuwa ikichezwa katika viwanja mbalimbali barani Afrika huku Uganda iking'ara, nayo Kenya ikitaraji kuipokea Togo mjini Nairobi. Ungana na Victor Abuso na Fredrick Nwaka viwanjani.

Ukurasa haipatikani

Maudhui unayojaribu kuyatafuta hayapatikani kwa sasa au yamekwishaondolewa.