Jukwaa la Michezo

Viongozi wapya wa Cecafa wana jukumu zito kuinua mchezo wa soka

Sauti 23:25
Rais mpya wa Cecafa, Wallace Karia akizungumza baada ya kuchaguliwa kuwa rais wa Cecafa 18 Disemba 2019
Rais mpya wa Cecafa, Wallace Karia akizungumza baada ya kuchaguliwa kuwa rais wa Cecafa 18 Disemba 2019 Kawowo Sports

Wiki hii baraza la vyama vya soka kwa nchi za Afrika mashariki na kati Cecafa limepata viongozi wapya akiwemo rais mpya Wallace Karia. Viongozi hao wataongoza shirikisho la soka kwa kipindi cha miaka minne ijayo. Ungana na Victor Abuso, Fredrick Nwaka na Bonface Osano wakijadili kwa kina