Jukwaa la Michezo

Matukio makubwa ya michezo yaliyojiri Afrika mashariki 2019

Sauti 23:40
Kiungo wa kimataifa wa Zambia Clatous Chama akishangilia baada ya kufunga bao dhidi ya AS Vita ya DRC katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam
Kiungo wa kimataifa wa Zambia Clatous Chama akishangilia baada ya kufunga bao dhidi ya AS Vita ya DRC katika Uwanja wa Taifa Jijini Dar es Salaam RFI

Eneo la Afrika mashariki mwaka 2019 limeshuhudioa matukio mbalimbali ya spoti yaliyogusa hisia ya wapenzi wa michezo. Tunayaangazia kwa kina katika makala ya jukwaa la michezo.