Matukio makubwa yatakayotokea viwanjani mwaka 2020
Imechapishwa:
Sauti 23:42
Leo katika Makala ya Jukwaa la Michezo, tunakuletea baadhi ya matukio makubwa yatakayotokea viwanjani mwaka 2020, ikiwa ni pamoja na tuzo la mchezaji bora katika mchezo wa soka barani Afrika, fainali ya CAF Super Cup na michuano ya CHAN, bila kusahau mashindano ya riadha ya dunia mwaka 2020 nchini Kenya.