Jukwaa la Michezo

Changamoto na mafanikio ya soka nchini Rwanda

Sauti 21:00
APR ni klabu yenye mafanikio katika soka nchini Rwanda, imeshinda mataji 17 ya ligi kuu
APR ni klabu yenye mafanikio katika soka nchini Rwanda, imeshinda mataji 17 ya ligi kuu iwacu

Mchezo wa soka unapendwa na kufuatiliwa kwa kariubu nchini Rwanda hata hivyo taifa hilo la Afrika mashariki bado halijapiga hatua kubwa katika mchezo huo. Tunaangazia mafanikio na changamoto za soka nchini Rwanda. Ungana na Fredrick Nwaka akiwa na Christopher Karenzi, mchambuzi na mwandishi wa habari za spoti kutoka Rwanda