Jukwaa la Michezo

Fainali za Afrika 2021 kuchezwa mwezi Januari hadi Februari

Sauti 24:21
Uwanja wa Ahmadou Ahidjom mojawapo ya viwanja vitakavyoandaa fainali za Afrika za 2021
Uwanja wa Ahmadou Ahidjom mojawapo ya viwanja vitakavyoandaa fainali za Afrika za 2021 wikipedia

Shirikisho la kandanda Afrika CAF wiki hii lilitangaza kubadili ratiba ya fainali za Afrika za mwaka 2021 zitakazochezwa nchini cameroon kutoka Juni hadi Januari. Uamuzi huu una tija? Ungana na Fredrick Nwaka akiwa na wachambuzi wa soka Bonface Osano na Samwel John kutathimini kwa kina.