TP Mazembe, Mamelody Sundowns zafuzu robo fainali ya klabu bingwa Afrika

Sauti 15:16
Klabu bingwa Afrika ndio michuano mikubwa ya ngazi ya klabu barani Afrika
Klabu bingwa Afrika ndio michuano mikubwa ya ngazi ya klabu barani Afrika wikipedia

Michuano ya klabu bingwa barani Afrika hatua ya makundi imeendelea kurindima ambapo klabu za TP Mazembe, Mamelody Sundowns, Zamalek ni miongoni mwa klabu zilizofuzu hatua ya robo fainali. Je msisimko wa michuano hiyo umepungua msimu huu? Fredrick Nwaka ameungana na wachambuzi wa soka Mohammed Simbaulanga na Aloyce Mchunga kutathimini kwa kina.