Rais wa Fifa apendekeza fainali za Afrika kuchezwa baada ya miaka minne

Sauti 16:39
Rais wa shirikisho la kandanda duniani Fifa, Gian Infantino
Rais wa shirikisho la kandanda duniani Fifa, Gian Infantino Attila KISBENEDEK / AFP

Rais wa shirikisho la kandanda duniani Fifa Gian Infantino amependekeza fainali za mataifa ya Afrika kuchezw akila baada ya miaka minne badala ya miaka miwili ya sasa. Tunajadili kwa kina katika jukwaa la michezo. Ungana na Fredrick Nwaka akiwa na wachambuzi wa soka Mustapha Mtupa, Samwel John na Bonface Osano