Changamoto za marefarii barani Afrika

Sauti 23:45
Mwamuzi akifanya kazi yake
Mwamuzi akifanya kazi yake FIFA.COM

Soka la bara la Afrika, limeendelea kushuhudia changamoto mbalimbali za waamuzi au marefarii, huku baadhi wakikosa maadili kwa kujihusisha na upangaji wa matokeo na kutofuata ipasavyo sheria 17 za mchezo huu unaopendwa duniani, kama ilivyoshuhudiwa nchini Tanzania na uongozi wa nchi hiyo kuchukua hatua.