Tuhuma za ukosefu wa maadili zalikumba shirikisho la soka Afrika, CAF

Sauti 24:32
Rais wa shirikisho la kandanda barani Afrika, CAF, Ahmad Ahmad
Rais wa shirikisho la kandanda barani Afrika, CAF, Ahmad Ahmad france24.com

Karibui miaka mitatu tangu Ahmad Ahmad kuchaguliwa kuwa rais wa shirikisho la kandanda barani Afrika, CAF, shirikisho hilo linakabiliwa na mshororo wa tuhuma za rushwa na matumizi mabaya ya fedha. Tunajadili katika makala ya Jukwaa la Michezo. Ungana na Fredrick Nwaka akiwa na wachambuzi wa soka Juma Mudimi na Bonface Osano