Jukwaa la Michezo

Matuki ya michezo 2021

Sauti 23:39
Nembo ya Shirikisho la soka barani Afrika CAF
Nembo ya Shirikisho la soka barani Afrika CAF CAF

Karibu sana katika Jukwaa la Michezo, baada ya kutokuwepo kwa karibu mwaka mmoja, baada ya kuzuka kwa janga la Corona duniani na kuathiri shughuli za michezo. Tumekuandalia uchambuzi wa matukio yatakayofanyika mwaka 2021 licha ya kuendele kuwepo kwa janga la Corona.