CECAFA-SOKA

Ratiba ya michuano ya CECAFA yajulikana

Kenya ikikabiliana na Zanzibar katika fainali ambayo Harambee Stars ilishinda kwa mabao 4-3 katika uwanja wa Kenyatta mjini Machakos
Kenya ikikabiliana na Zanzibar katika fainali ambayo Harambee Stars ilishinda kwa mabao 4-3 katika uwanja wa Kenyatta mjini Machakos cecafafootball.org

Droo ya michuano ya soka kuwania taji la Klabu Bingwa Afrika Mashariki na Kati, maarufu kama Kombe la Kagame imetolewa kuelekea michuani hiyo itakayonaza jinni Dar es salaam nchini Tanzania Agosti 1.

Matangazo ya kibiashara

Kundi A

KCCA FC-Uganda

Le Messager Ngozi-Burundi

KMKM FC-Zanzibar

Kundi B

Azam FC-Tanzania

Atlabara FC-Sudan Kusini

Tusker FC-Tanzania

Kundi C

Yanga FC-Tanzania

Nyaza Big Bullet-Malawi

Express FC-Uganda

Mechi ya ufunguzi, itakuwa kati ya KCCA FC vs KMKM SCkatika uwanja wa Chamazi.