Wimbi la Siasa

Uhuru wa Sudan Kusini

Sauti 10:00
UN Photo/Eskinder Debebe

Mtangazaji wa makala haya, ameangazia harakati za Uhuru wa Sudan Kusini ambayo ilitangazwa kuwa taifa huru juma Moja lililopita.