Ikiwa imebaki miaka minne kufikia mwaka 2015, mwaka ulio kikomo cha kuyafikia malengo ya milenia yaliyowekwa na nchi mbalimbali duniani, Bado nchi nyingi za kiafrika zinakabiliwa na changamoto mbalimbali ambazo ni kikwazo katika kufikia azma hiyo kwa muda muafaka.