Usawa wa kiuchumi duniani

Sauti 09:31

wiki hii makala ya gurudumu la uchumi linaangazia, hali ya kutokuwepo kwa usawa wa kiuchumi duniani, hususan kwa nchi zinazoendelea, tukiangalia maana ya dhana ya kutokuwepo kwa usawa wa kiuchumi, sababu na hasara zake.