Maana ya kununua na kuuza hisa

Sauti 08:52
Emmanuel Makundi, Mtangazaji na mtayarishaji wa makala ya Gurudumu la Uchumi
Emmanuel Makundi, Mtangazaji na mtayarishaji wa makala ya Gurudumu la Uchumi RFIkiswahili

Gurudumu la uchumi wiki hii, linazungumzia kuhusu kununua na kuuza hisa, maana yake, faida ya kuwa mwanahisa, mchango wake kwa ukuaji wa uchumi wa nchi husika, halikadhalika Dondoo muhimu za kufuata kabla ya kuamua kuwa mwanahisa