Gurudumu la Uchumi

Kudorora kwa sarafu ya Euro

Sauti 09:09

Gurudumu la uchumi wiki hii limeangazia kudorora kwa sarafu ya Euro barani ulaya,athari zake kwa mataifa ya Afrika halikadhalika namna ambavyo nchi za kiafrika itaweza kuepuka tatizo hilo.