Gurudumu la Uchumi

NI kwavipi uwekezaji unachangia kujenga ama kuporomosha uchumi wa mataifa ya Afrika na ule wa Ulaya kukua?

Sauti 08:57
Reuters

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia ni kwa namna gani nchi za Afrika zinaweza kunufaika na uwekezaji endapo kutakuwa na sera bora za kusimamia hili.