Gurudumu la Uchumi

Ni kweli msaada wa kifedha toka China utayasaidia mataifa ya Ulaya?

Sauti 09:37
Waziri mkuu wa Ugiriki, George Papandreou
Waziri mkuu wa Ugiriki, George Papandreou Reuters

Mtangazaji wa makala haya juma hii ameangazia hatua ambayo viongozi wa Umoja wa Ulaya waliifikia katika mkutano wao wa juma lililopita kuhusu kuyaongezea mabenki mitaji pamoja na kuiomba nchi ya China kuingilia kati na kusaidia mkopo wa fedha kwa mataifa hayo pamoja na kuwekeza kwenye nchi zao.