Gurudumu la Uchumi

Mawaziri wa fedha wa Umoja wa Ulaya waidhinisha kutoa kiasi cha dola bilioni 11 kwa nchi ya Ugiriki

Sauti 10:06

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia mkutano wa dharura uliotishwa na mawaziri wa fedha wa Umoja wa Ulaya mjini Brussels Ubelgiji ambapo kwa pamoja walikubaliana kutoa kiasi cha dola bilioni 11 kwa nchi ya Ugiriki.