Gurudumu la Uchumi

Athari za uchumi tegemezi na ukopaji uliopita ukomo

Sauti 10:00
Reuters

Mtangazaji wa makala haya hii leo ameangazia ni kwanini tafiti mbalimbali za uchumi zinazofanywa na wataalamu kwenye mataifa ya Afrika hazifanyiwi kazi pamoja na kutazama pia athari za kuwa na uchumi tegemezi.