Wimbi la Siasa

Tunisia yapata Serikali mpya

Sauti 10:04
REUTERS/Zoubeir Souissi

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangalia hali ya mambo kule nchini Tunisia, mara baada ya nchi hiyo kupata Serikali mpya.