Wimbi la Siasa

Waangalizi wa Jumuia ya nchi za Kiarabu nchini Syria

Sauti 09:31

Wimbi la siasa wiki hii tunajadili kuhusu hali inayo endelea nchini Syria baada ya rais Bashar Al Assad kukubali waangalizi wa Jumuia ya nchi za kiarabbu kuzuru miji kadhaa ya nchi hiyo.