Gurudumu la Uchumi

Faida na hasara ya kushusha thamani ya fedha kwa uchumi wa Malawi

Imechapishwa:

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia hatua ya nchi ya Malawi kuamua kushusha thamani ya fedha yake kwa lengo la kutaka kuinua tena uchumi wa taifa hilo ambao ulikuwa umeonekana kusuasua na kukosa wahisani.Mtangazaji ameangalia faida na hasara za hatua hizi.