Mjadala wa Wiki

Hali bado si shwari eneo la kaskazini mashariki mwa DRC

Sauti 10:19
Rais Josephu Kabila
Rais Josephu Kabila Reuters

Hii leo katika mjadala wa wiki tumeangazia hali ya mambo kule nchini Jamhuri ya Kidemokrasia ya Kongo DRC ambapo kaskazini mashariki mwa nchi hiyo kumekuwa na mapigano kati ya wanajeshi wa Serikali na kundi la waasi wanaongozwa na jenerali Bosco Ntaganda.