Wimbi la Siasa

Nini hatma ya jumuiya ya umoja wa Ulaya na afrika baada ya Hollande kuchaguliwa rais wa Ufaransa

Sauti 09:57
François Hollande rais mpya wa Ufaransa akiwa na rais anayemaliza muda wake Nicolas Sarkozy
François Hollande rais mpya wa Ufaransa akiwa na rais anayemaliza muda wake Nicolas Sarkozy Reuters

Mtangazaji wa makala haya juma hili ameangazia ushindi wa Francois Hollande dhidi ya rais Nicolas sarkozy, ambapo kubwa linalosubiriwa toka kwa kiongozi huyu ni jinsi atakavyoshughulikia mgogoro wa uchumi kwenye Umoja wa Ulaya pamoja na kutengeneza ajira nchini mwake.