Gurudumu la Uchumi

Mkutano wa Uchumi

Imechapishwa:

Makala ya Gurudumu la Uchumi inaangazia Mkutano wa maswala ya uchumi uliofanyika mjini Adis Ababa nchini Ethiopia ambapo Pamoja na mambo mengine makala haya inaangazia juu ya moja kati ya mijadala juu ya namna gani Sekta binafsi zinaweza kushirikiana na Serikali katika kuimarisha uchumi wa Mataifa ya Afrika.

Kiongozi wa zamani wa Umoja wa Afika Koffi Annan
Kiongozi wa zamani wa Umoja wa Afika Koffi Annan REUTERS/Tiksa Negeri
Vipindi vingine